Isaiah 10:24

24 aKwa hiyo, hili ndilo Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote asemalo:

“Enyi watu wangu mkaao Sayuni,
msiwaogope Waashuru,
wanaowapiga ninyi kwa fimbo
na kuinua rungu dhidi yenu, kama Misri ilivyofanya.
Copyright information for SwhNEN